Shambulio la Japani dhidi ya manowari za Marekani linasababisha nchi hiyo kuingia vita vikuu vya pili vya dunia

December 7, 2018

shambulio la japani dhidi ya manowari za marekani katika bandari ya Pearl Harbour [Hawaii] linasababisha nchi hiyo  kubwa kuingia  vita vikuu vya pili vya dunia mwaka 1941 tarehe 7 mwezi wa 12

 Mwaka 1941 Wajapani walishambulia Marekani pamoja na makoloni ya Waingereza na Waholanzi huko Asia.

 Hitler alitangaza pia vita dhidi ya Marekani akitaka kuwasaidia Wajapani ingawa Japan haikushambulia Urusi 

 Katika miaka iliyofuata nguvu ya Ujerumani na Japani ilipungua. lakini uwezo wa kiuchumi wa Marekani ulikuwa mkubwa kiasi cha kulizalisha mitambo na silaha  zaidi ya  Wajerumani na Wajapan.

mwisho wa vita vya pili vya duniaJapan ilipoteza sehemu kubwa sana ya meli zake za kivita na Jeshi la Marekani lilikaribia visiwa vya Japani tayari.

 www.mzunguko.com

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload

Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon