karne ya 15 baharia Christopher Columbus alihisi ameipata bustani ya Edeni alipowasili kwenye kisiwa cha Hispaniola, ambacho sasa ni eneo la Dominika na Haiti.

December 5, 2018

[siku kama  ya leo, tarehe  5 mwezi wa  12 mnamo mwaka wa  1492  Christopher Columbus anakuwa muamerika wa kwanza kufika katika kisiwa cha Hispaniola

Christopher Columbus alikuwa akianza  safari yake  ya pili ya uvumbuzi pamoja na mabaharia 1,500,watalii,makasisi na wakoloni

Jitihada za mapema za kupata njia ya kaskazini zilifanywa  punde baada ya Christopher Columbus kuvumbua bara la Amerika

 

Karne nyingi kabla  Christopher Columbus hajavuka Bahari ya Atlantiki, Wasafiri waolinesia walikuwa wakisafiri maelfu ya kilomita katika Bahari ya Pasifiki kwa mitumbwi. Walifika kwenye visiwa vya  Polinesia.

Wakaaji wa ulaya waligundua mhindi mnamo mwaka wa 1492 baada ya mvumbuzi Christoher Columbus kuwasili katika visiwa vya karibea

Mwaka wa 1492 Christopher  Columbus alitumia dira ili kujua  upande  aliokuwa akielekea

Mnamo  mwaka wa 1492 Christopher Columbus aligundua ulimwengu Mpya,  wenye maeneo yenye utajiri mwingi na maridadi sana

 

 

 

 

 

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload

Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon