Amiri Muammar al-Gaddafi

alikuwa kiongozi wa taifa la Libya

alizaliwa katika familia ya mabedawi (wafugaji wa kuhamahama) mnamo mwaka 1942

Baada ya masomo ya sheria kwenye chuo kikuu cha Libya alijiunga na jeshi mwaka 1963 akasoma kwenye chuo cha kijeshi cha Sandhurst (Uingereza) mwaka 1965

Tarehe 1 Septemba 1969 pamoja na maafisa wenzake alipindua serikali ya mfalme Idris I na kutangaza Jamhuri ya Kiarabu ya Libya

Ingawa hakuwa na cheo rasmi aliendelea kutawala nchi yake akiitwa "Kiongozi wa mapinduzi ya 1 Septemba ya Jamahiriya ya Ujamaa ya watu ya Kilibya-Kiarabu".

Hatimaye akapinduliwa mwenyewe tarehe 23 Agosti 2011, na kuuawa tarehe 20 Oktoba 2011.

www.mzunguko.com


Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

Jiunge nasi :

Usipitwe na kitu