Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

Je wajua neno la mkopo kutoka kiarabu linalosisitiza dhati ya mtu

December 3, 2018

Nafsi ni neno la mkopo kutoka Kiarabu. Linatumika kusisitiza dhati ya mtu (kwa mfano. "Mimi, nafsi yangu").

 Neno Nafsi linatumika kutafsiria neno la Kilatini "persona" (kwa Kiingereza "person") ambalo linamtofautisha binadamu (kama kiumbe wa pekee) na wanyama wote na kumpa haki zake za msingi.

 Tofauti hiyo ilisisitizwa hasa na dini ya Uyahudi iliyomtambua mtu (mwanamume na mwanamke vilevile) kuwa sura na mfano wa Mungu.

 Nafsi Ni msamiati muhimu wa ustaarabu wa Magharibi, unaotumika sana katika saikolojiasheriafalsafateolojia n.k.

 Maendeleo makubwa katika kuuelewa msamiati wa Nafsi yalipatikana wakati wa mabishano ndani ya Ukristo kuhusu fumbo la Yesu na Utatu.

 www.mzunguko.com

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload