Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

Bomu la kujitoa mhanga lilitegwa katika Hotel moja mjini Mogadishu, na kuuwa watu 25 wakiwemo mawaziri wa serikali ya Somalia mnamo mwaka wa 2009 tarehe 3 december .

December 3, 2018

 Mnamo mwaka 2009 katika hotel moja  iliyofahamika   kwa  jina shamo Hotel mjini Mogadishu nchini Somalia  kulitegwa bomu la kujitoa mhanga  lililouwa watu 25 wakiwemo mawaziri  watatu  wa serikali ya somalia  na kuwajeruhi  zaidi ya watu  60  huku washukiwa wakidaiwa ni Al shabaab

 www.mzunguko.com

 

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload