Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

Mwaka wa 1953 mfalme wa Buganda kabaka Edward Mutesa wa II aliondolewa katika ufalme wake na kufukuzwa kabisa katika nchi ya Uganda na kupelekwa uhamishoni nchini uingereza na Gavana wa Uganda Andrew cohen kwa Makosa ya kuvunja makubaliano na taifa la uingereza

November 30, 2018

[Siku kama ya leo tarehe 30 mwezi wa 11 mwaka wa  1953 kabaka mutesa alifukuzwa nchini mwake na kupelekwa nchini uingereza ]

Kabaka  edward mutesa II alifukuzwa na kuamishiwa nchini uingereza  kwa makosa ya kuvunja makubaliano yaliyokuwa, yanamtaka kuonyehsa  ushirikiano wa kifalme  na  serikali ya uingereza iliyokuwa inaitawala  uganda.

 Jina  lake kamili anaitwa Edward Frederick William David Walugembe Mutebi Luwangula mutesa wa 11 alizaliwa terehe  19 mwezi wa 11 mwaka 1924 na kufariki tarehe 21 mwezi wa 11 mwaka 1969.

 alikuwa mfalme wa Buganda nchini Uganda kuanzia  tarehe 22 mwezi wa 11 mwaka wa1939 mbaka kifo chake,

 Alikuwa mfalme wa  35 wa Buganda na Rais wa kwanza wa Uganda,

 Baada ya kuondolewa katika  nafasi ya ufalme wa Buganda  na  taifa la Waingereza, mfalme kabaka edward mutesa aliandika Utanzu uliokuwa unasema KUHARIBIWA    UFALME WANGU

 KIFO  CHA MFALME EDWARD MUTESA WA II

Mutesa alikufa kwa sumu iliyokuwa imewekwa kwenye kinywaji alichopewa wakati yupo  kwenye ndege akielekea uingereza, 

 Tukio hili liligunduliwa na maafisa wa  uingereza na ikisemekana yalikuwa mauaji yaliyopangwa, \

kifo chake kilionekena kama mauaji ya kupangwa, kwa mujibu wa  watu walio dai kuwa inawezekana  kabisa  mfalme mutesa  wa II alilazimishwa kunywa kinywaji cha Vodka bila idhini yake.

www.mzunguko.com

 

 

 

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload