Rapa na mwigizaji kutoka nchini Marekani anayefahamika kwa jina lake la kisanii kama the Game amezal

[siku kama ya leo tarehe 29 mwezi wa 11 mwaka wa 1979 msanii the Game kutoka Marekani alizaliwa]

Jayceon Terrell Taylor (amezaliwa tar. 29 Novemba 1979) ni rapa na mwigizaji kutoka nchini Marekani.

Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Game. Game alianza kujipatia umaarufu wake kunako mwaka wa 2005, pale alipotoa albamu yake ya kwanza " the documentary" iliyompatia mafanikio makubwa kabisa.

The game pia yupo kwenye kikundi cha west coast ambacho pia wapo wakina snoop dogg na muangzilishi wake tupac na imrani mashanga.

g

Albamu ilikwenda kwa jina la The Documentary,na ikaweza kujishindia Tuzo mbili za Grammy ikiwa kama albamu bora ya rap na hip hop kwa mwaka wa 2005

Tangu hapo, akawa anafikiriwa kuwa anarudisha kwa nguvu ule muziki wa hip hop wa West Coast kwa mashindano na majigambo na baadhi ya rapa wengine wa East Coast.

Mbali na kutoa albamu ya kwanza na ya pili na pia kuweza kushika nafasi ya kwanza katika chati za Billboard 200 bora,

Game amepata kuhusishwa na masuala ya ugomvi na baadhi ya marapa wenzake. Muziki anaofanya ni ule muziki wa kihuni sana ambao mara nyingi unafanywa na kujulikana zao katika mji wa kwao wa huko Compton, California.

www.mzunguko.com


Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

Jiunge nasi :

Usipitwe na kitu