Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

Tarehe 29 mwezi wa 11 mwaka 1899, Joan Gamper raia wa Switzerland alianzisha timu ya Barcelona, pamoja na kundi la wachezaji kutoka Hispania, uingereza,na switzeland

November 29, 2018

[siku kama ya leo tarehe 29 mwezi wa 11  mwaka wa 1899 timu ya barcelona  ilianzishwa  na Joan Gamper  pamoja na wachezaji  kutoka Hispania, uingereza,na switzeland, mchezo wa mpira wa miguu ulikuwa hautambuliki  na watu wa Hispania kwa wakati huo

 JOAN GAMPER

Hans Max Gamper-Haessig alizaliwa tarehe 22 mwezi wa 11 mwaka 1877 na kufariki  tarehe 30 mwezi  wa 7  mwaka 1930.

 katika mji wa calonia anafamika kama Joan Gamper, alikuwa mwanzilishi wa mpira wa miguu chini Hispania  na  Rais wa club ya Barcelona ,

alianzisha timu  ya mpira  wa miguu Switzerland na Hispania  ambayo ni  FC Barcelona kutoka Hispania,

Joan Gamper akiwa katikati...

 www.mzunguko.com

 

 

 

 

Joan Gamper

 

 

 

 

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload