Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 21.11.2018: Eriksen, Rashford, De Jong, Kante, Perisic, Rabiot, Hernandez

November 21, 2018

Manchester City watahitajika kulipa pauni milioni 75 kwa kiungo wa kati wa Ajax, Frenkie de Jong, ambaye pia anatafutwa na Barcelona. Mchezaji huyo wa miaka 21 pia anawinda na meneja wa City Pep Guardiola. (Mirror)

 

Real Madrid wanapanga kutumia pauni milioni 90 kumsaini mshambuliaji wa Manchester United Marcus Rashford, 21, na pauni milioni 40 kwa kiungo wa kati wa Tottenham Christian Eriksen, 26. (Sun)

 

Kiungo wa kati Mfaransa N'Golo Kante, 27, yuko tayari kusaini mkataba mpya na Chelesea wa thamani ya karibu pauni milioni 300,000 kwa wiki. (Telegraph)

Real Madrid wanajaribu kumshawishi kiungo wa kati mhispania Brahim Diaz, 19, asiongeze mkataba wake na Manchester City. (AS)

Inter Milan wanafikitria ikiwa watamuuza wing'a raia wa Croatia Ivan Perisic, 29, kwenda Manchester United kwa paunia milioni 31. (Sun)

www.mzunguko.com

 

 

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload

Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon