Mnamo mwaka wa 1977 tarehe 20 mwezi wa 11 Rais wa Misri Anwar sadat alikuwa kiongozi wa kwanza wa


Ni Kiongozi wa kwanza wa Misri aliyezungumza na taasisi kubwa ya kiserikali iliyopo Jerusalem nchini Israel iliyoitwa [Knesset] Ni Taasisi ya kiserikaili nchini Israel iliyokuwa ina uwezo wa kupitisha sheria zote zilizotungwa, ni chombo cha kiserikali kilichokuwa na uwezo wa kumchagua Rais na waziri mkuu ingawa baadaye ikawa ni Taaisi inayoteuliwa na rais wa nchi hiyo.

Anwar sadat alikuwa kiongozi wa kwanza wa kiarabu aliyeweza kufanya mazungumzo na Taasisi kubwa nchini israel iliyokuwa na mamlaka hata ya kumuondoa Rais wa nchi hiyo kama haikuwa na imani naye na kuitisha uchaguzi mpya

huyo ndiye Anwar sadat Rais wa kwanza wa Misri aliyetembelea nchi ya israel na kupewa makazi ya kudumu ya amani na kuweza kufanya mazungumzo na Taasisi yenye nguvu kubwa katika nchi ya israel..


Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

Jiunge nasi :

Usipitwe na kitu