Mnamo mwaka wa 1918 tarehe 20 mwezi wa 11 john bauer mchoraji maarufu kutoka uswidi alifariki


Miongoni mwa picha alizojichora john bauer

Yeye alisoma katika Chuo cha Sanaa mjini Stockholm. Picha zake zinapatikana katika kitabu cha Bland tomtar och troll [kitabu kinachoelezea watu mbilikimo na Majitu makubwa]

USWIDI

Uswidi kwa jina lingine linaitwa Sweden; Swedeni; ni nchi ya Skandinavia katika Ulaya ya Kaskazini. Imepakana na Ufini (Finland) na Norwei.

John bauer alikuwa miongoni mwa wachoraji wakubwa nchini sweeden aliyechora picha za kusadikika lakini zenye ujumbe, alichora picha za majitu na malkia,

zifuatazo ni baadhi ya michoro aliyowahi kuchora........

Mchoro uliomzungumzia malkia na majitu

mchoro wa jitu kubwa

www.mzunguko.com


Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

Jiunge nasi :

Usipitwe na kitu