Kusinzia kupita kiasi wakati wa mchana ni ugonjwa


Wengi wetu huwa tunahangaika kuamka asubuhi wakati mwingine

Wengi hudhani kuwa walikuwa na usingizi mzuri wakati kengele inapoita na kufikiri kwamba wanaweza kulala dakika tano zaidi.

Tatizo la kushindwa kuamka asubuhi na kuwa na usingizi kila mara wakati wa mchana.

Ugonjwa huu huwatokea watu mara chache sana na hutokana na usingizi wa kupindukia

Dalili zake ni zipi?

Wataalam wanasema kwamba watu wawili kati ya 100,000 huwa wanaathirika na kusinzia kulikopitiliza lakini chanzo chake hakijulikani.

Dalili zake

  • Usingizi wa kila wakati majira ya mchana na bado kuendelea kutojisikia vizuri​

  • Kusinzia wakati wa kula na kuongea​

  • Kulala kwa muda mrefu usiku hata kama mtu amelala muda mrefu wakati wa mchana​.

www.mzunguko.com


Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

Jiunge nasi :

Usipitwe na kitu