Mnamo mwaka wa 1977 tarehe 20 mwezi wa 11 Rais wa Misri Anwar sadat alikuwa kiongozi wa kwanza wa kiarabu kutembelea taifa la Israel wakati alipokutana na waziri mkuu wa nchi hiyo bwana Menachem begin

November 20, 2018

Ni Kiongozi wa kwanza wa  Misri aliyezungumza na taasisi  kubwa  ya kiserikali iliyopo Jerusalem  nchini Israel iliyoitwa [Knesset]  Ni Taasisi ya kiserikaili nchini Israel iliyokuwa  ina uwezo  wa kupitisha sheria zote zilizotungwa, ni chombo cha kiserikali kilichokuwa na uwezo wa kumchagua Rais na waziri mkuu ingawa baadaye ikawa ni Taaisi  inayoteuliwa na rais  wa nchi hiyo.

 

Anwar sadat alikuwa kiongozi wa kwanza wa kiarabu aliyeweza kufanya mazungumzo na Taasisi kubwa nchini israel iliyokuwa na mamlaka hata ya kumuondoa  Rais wa nchi hiyo kama haikuwa na imani naye na kuitisha uchaguzi mpya

huyo ndiye Anwar sadat Rais wa kwanza wa Misri aliyetembelea nchi ya israel na kupewa makazi ya kudumu ya amani na kuweza kufanya mazungumzo na Taasisi yenye nguvu kubwa  katika nchi ya israel..

 

 

 

 

 

 

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload

Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon