Mnamo mwaka wa 1962 tarehe 19 mwezi wa 11 Jodie foster mwigizaji wa filamu kutoka Marekani alizaliwa

November 19, 2018

 Alicia Christian Foster amezaliwa tar. 19 Novemba 1962 anafahamika zaidi kama Jodie Foster, ni mwigizaji wa filamu wa Kimarekani.

 

Foster ameshiriki katika filamu nyingi tu kama vile Bugsy MaloneTaxi Driver, The Silence of the Lambs na Panic Room.

Foster pia ni mwongozaji na mtayarishaji wa filamu. Vilevile amewahi kushinda tuzo nyingi ikiwemo na ya Oscars.

 

 

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload

Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon