Mnamo mwaka wa 1935 tarehe 19 mwezi wa 11 mwandishi na mwanaharakati aliyeandika habari za ubaguzi wa rangi nchini Afrika kusini cosmas Desmond alizaliwa

November 19, 2018

 Cosmas Desmond alizaliwa   tarehe 19 Novemba mwaka  1935  alikuwa mtawa Mfransisko, mwanaharakati na mwandishi wa Afrika  kusini aliyetokea Uingereza.

 

Kwa vile aliandika dhidi ya ubaguzi wa rangi kuchapisha na kusoma vitabu vyake nchini Afrika Kusini kulipigwa marufuku.

 

Baada ya mabadiliko ya kisiasa mwaka wa 1990, Desmond akawa mwandishi mashuhuri tena. Akakaa Afrika Kusini hadi kufariki kwake. 

 

 

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload

Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon