Mnamo mwaka wa 1828 tarehe 19 mwezi wa 11 franz Schubert mtunzi wa opera kutoka Austria alifariki akiwa tayari ametunga nyimbo zaidi ya 1000

November 19, 2018

Franz (Peter) Schubert (alizaliwa mjini Vienna, 31 Januari 1797 na kufariki Vienna 19 Novemba 1828) alikuwa mtunzi wa Opera wa Kiaustria.

 Ingawa alifariki dunia akiwa na umri wa miaka 31 lakini alitunga zaidi ya nyimbo elfu moja.

Na inaamika kwamba kazi zake ni miongoni mwa kazi bora ziliwahi kutungwa. Alitunga ala nzuri zenye kupendeza.

Kulikuwa na watunzi wengi wakubwa waliowahi kuishi mjini ViennaHaydn, Mozart na Beethoven, lakini Schubert ni yeye peke yake aliyezaliwa mjini Vienna.

 Schubert alikuwa ndiyo mtunzi mkubwa wa mwisho wa muziki wa klasiki na Romantic music

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload

Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon