Frederick Jackson Turner, mwanahistoria kutoka Marekani aliyezaliwa tarehe 14 november mwaka 1861

November 14, 2018

Frederick Jackson Turner  alizaliwa terehe 14 Novemba 1861) alikuwa mwanahistoria kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1933, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Historia kwa kitabu chake The Significance of Sections in American History.

 

Tuzo ya Pulitzer ya Historia ni aina moja ya Tuzo za Pulitzer ambazo hutolewa kila mwaka nchini Marekani. Ni miongoni mwa aina za asili zilizotolewa kuanzia 1917, na imetolewa kumheshimu mwandishi au mwanahistoria Muamerika aliyeandika kitabu kuhusu historia ya Marekani katika mwaka uliopita.

Kuanzia 1980, wagombea watatu wa mwisho walikuwa wanatangazwa, yaani mshindi mkuu pamoja na mshindi wa pili na wa tat

 

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload

Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon