Am black but beauty

YOU WILL NEVER SUCCEED IF YOU DON’T DO THIS, ni miongo ni mwa wa hotuba za Dr martin luther king jr nchini marekani zilizowafumbua macho wamarekani weusi namna ya kuweza kujitambua na kujikubali jinsi walivyo.

katika hotuba hii Dr Martin anasema kamwe hautaweza kufanikiwa kama hautafanya haya, jambo la kwanza katika maisha yako unatakiwa uamini kwa dhati heshima yako na uthamani wako , jali uthamani wako na wala usiruhusu mtu yeyote akufanye uhisi kwamba si chochcote na kila wakati jitambue kuwa ni mtu mwenye uthamani mkubwa.

kila wakati tambua maisha yako yana umuhimu mkubwa, na wala usionee aibu rangi uliyonayo na wala usionee aibu maumbile yako au rangi uliyonayo, kwa namna fulani unatakiwa ujiamini na kusema kuwa unajivunia kuwa mweusi kwa kuwa ni mzuri [usijidharua jinsi ulivyo bali jikubali jinsi ulivyo na usiruhusu mtu yeyote akushushie thamani yako].


Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

Jiunge nasi :

Usipitwe na kitu