Am black but beauty

November 10, 2018

YOU WILL NEVER SUCCEED IF YOU DON’T DO THIS, ni miongo ni mwa  wa hotuba  za Dr martin luther king jr  nchini marekani zilizowafumbua  macho wamarekani weusi namna ya kuweza kujitambua na kujikubali  jinsi walivyo.

 katika hotuba hii  Dr Martin anasema  kamwe hautaweza kufanikiwa kama  hautafanya  haya,  jambo la kwanza  katika maisha   yako unatakiwa uamini    kwa dhati heshima yako  na uthamani  wako ,   jali uthamani   wako na wala usiruhusu mtu yeyote akufanye uhisi  kwamba si chochcote  na kila wakati  jitambue  kuwa ni mtu mwenye uthamani  mkubwa.

 kila wakati tambua   maisha yako  yana umuhimu  mkubwa, na wala usionee aibu rangi uliyonayo    na  wala usionee aibu   maumbile yako au rangi uliyonayo,  kwa namna fulani    unatakiwa ujiamini na kusema  kuwa unajivunia kuwa mweusi  kwa kuwa ni mzuri [usijidharua jinsi ulivyo bali jikubali  jinsi ulivyo na usiruhusu mtu  yeyote akushushie thamani yako].

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload

Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon