Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

I HAVE A DREAM

November 7, 2018

Anaitwa Dr Martin Luther King, Junior  alikuwa Mkristo mwenye asili ya Afrika, mchungaji wa Kibaptisti na mwanaharakati mashuhuri kutoka nchi ya Marekanialiyepigania haki za binadamu, hasa Wanegro, wakati nchi hiyo ilipokuwa bado na sheria za ubaguzi wa rangi mpaka miaka  ya 1960.

Baadhi ya madhehebu ya Marekani, hasa Waanglikana na Walutheri, yanamheshimu kama mtakatifu mfiadini. Hii ni moja ya hotuba zake mashuhuri kipindi cha harakati zake za kupinga ubaguzi wa rangi nchini Marekani  aliisema ana ndoto ipo siku taifa la Marekani litabadilika  na hakutakuwa na ubaguzi wa rangi wa aina yeyote miongoni mwa  wamerekani  weusi na wamarekani weupe bali kutakuwa na usawa na uhuru baina  ya taifa hilo, na watu  wote nchini marekani watasimamia ukweli wa kwamba watu wote katika taifa la Marekani wameumbwa kwa haki na usawa.

 

 

www.mzunguko.com

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload