Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

AMBER LULU AELEZA KUHUSU SKENDO YAKE NA NUH MZIWANDA.

Staa wa muziki bongo anaejulikana kwa jina la AMBER LULU katika stori zilizokiki ndani ya wiki hii ni kwamba zimekutwa video pamoja na picha katika mtandao wa kijamii (INSTAGRAM) akiwa na NUH MZIWANDA wakifanya yao kitu ambacho kimewafanya mpaka watu wameshindwa kuelewa kitu gani kinachoendelea baina ya mastaa hao wawili. 

 

Mzunguko online imepata nafasi ya kuonana na AMBER LULU na akaeleza jinsi ilivyokua kuhusu uhusiano wake na MZIWANDA.Lakini pia ata ivo AMBER aliweka wazi mastaa ambao ameshatoka nao kimapenzi kama vile BARNABA,RAMIGALS,ASLAY,YOUNG D na pia akaeleza kati ya hao wote ASLAY ndo mtu pekee ambae amempa penzi la kinyamwezi.

 

Hivyo staa huyo amesema kuwa MZIWANDA hana mahusiano nae yoyote na kitendo iko kilichofanyika haikua kusudio lake ni VIBES tuu zilizidi ndipo walipoamua kufanya kitendo hiko,Amejitahidi sana kumbembeleza mumewake PREZOO amsamehe kwa kitendo hiko ila bado PREZOO ameshindwa kumuelewa na kumsamehe kwa kitendo kilichofanyika kwa kumdharirisha katika mitandao ya kijamii.  

 

mzunguko.com

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload