Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

GOOD NEWS: Mwana FA aongeza mwanafamilia mwingine.

 

Ipokee habari njema kutoka kwa staa mkongwe katika muziki wa Bongo Fleva Mwana FA ambaye amebahatika kupata mtoto wa pili wa kike usiku wa jana May 22,2018

Mwana FA ni miongoni mwa mastaa wachache ambayo hawaweki mahusiano yao ya kimapenzi katika mitandao ya kijamii na pia amekuwa mtu ambaye ni msiri kuhusiana na familia yake kwenye mitandao ya kijamii

 

Mwana FA alifunga pingu za maisha na mke wake Helga mwaka 2016 na hivyo baada ya miaka miwili wamebahatika kuongeza mwanafamilia mwingine katika familia yao, hongera nyingi ziwafikie 

 

Mzunguko.com

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload