Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

(PICHA)MAZISHI YA LUTENI MOLLOIMET YALIVYOWAKUTANISHA GAMBO NA LOWASSA

May 19, 2018

Siku ya jana mei 18, 2018 Aliyewahi kuwa Mbunge wa Monduli na Mkuu wa wilaya Mstaafu Luteni Mstaafu Lepilal Ole Molloimet aliyefariki dunia Jumapili iliyopita alizikwa jana  wilayani Longido.

 

Luten Molloimet amefariki dunia kwa ugonjwa wa shinikizo la damu, moja ya viongozi waliohudhuria mazishi hayo ni mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA, Edward Lowasapamoja na Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 MZUNGUKO.COM

 

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload