GIGY MONEY APATA DILI LA UBALOZI

Mara baada ya kujaliwa kupata mtoto wa kike, msanii wa muziki Bongo na video vixen, Gigy Money amerejea tena kwenye headlines zake, time hii amepata dili la ubalozi.

Gigy Money kwa sasa ni balozi wa bidhaa za Bull Condom ambapo kwa sasa anatoa kinga hizo katika maeneo tofauti tofauti.

Gigy Money ameweka wazi hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram ikiwa ni wiki moja imepita tangu Amber Lulu kuweka wazi kuwa balozi hata hivyo hakuweka wazi ni kwa bidhaa zipi.

Mwaka jana kulikuwa na taarifa za ujio wa bidhaa za kondomu kutoka kwa rapper Joh Makini hata hivyo kumekuwa na ukimya mwingi wa hilo.

www.mzunguko.com #OngezaMaarifaBadilishaDunia


Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

Jiunge nasi :

Usipitwe na kitu