Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

BODI YA MIKOPO YATANGAZA KUANZA KUPOKEA MAOMBI YA MKOPO ELIMU YA JUU

May 10, 2018

 

 

 

Leo May 10 2018 Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza kuanza kupokea maombi ya mikopo ya elimu ya juu kwa muda wa miezi miwili na kusisitiza kuwa maombi yote yatapokelewa kwa njia ya mtandao.

 

Akizungumza na waandishi wa habari Mkururugenzi Mtendaji wa Bodi hiyo, Abdul-Razaq Badru amesema BILIONI 427 zimetengwa kwa mwaka huu na wanafunzi wapya zaidi ya40,000 watanufaika.

 

Mzunguko.com

 

 

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload