Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

YANGA YAIOMBA RADHI SPORT PESA

May 8, 2018

Usiku wa May 6 2018 mchezo wa kwanza wa Yanga wa Kundi D wa Kombe la shirikisho Afrika ulichezwa mjini Algers nchini Algeria dhidi ya wenyeji wao USM Alger, Mchezo huo Yanga walipoteza kwa magoli 4-0, katika mchezo huo kuna suala lilijitokeza la Yangakuvaa jezi bila kumuonesha mdamini wao Mkuu SportPesa.

 

Yanga kuhusiana na shirikisho la soka Afrika CAF kutowaruhusu kutumia jezi za mdhamini wao mkuu SportPesa leo wametoa taarifa rasmi kutoka makao makuu yao sambamba na kumuomba radhi mdhamini wao mkuu SportPesa.

 

mzunguko.com

 

 

 

 

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload