Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

CHRIS BROWN AKASIRISHWA NA KAULI YA KANYE WEST

May 3, 2018

 

 

Staa wa muziki kutokea Marekani Chris Brown ni moja kati ya mastaa waliokasirishwa na maneno aliyosema Rappa Kanye West kwenye mahojiano aliyofanya na TMZ kuwa“Watu weusi walichagua wenyewe kuwa watumwa” na hivyo baadhi ya mastaa kukasirishwa na maneno hayo na hadi kumshusha hadhi Rappa huyo.

 

Kupitia instagram account ya Chris Brown amepost video ya msanii Will I am na kuandika caption inayosema “ameelezea sana kuliko mimi ambavyo ningefanya, nimefuta post yangu ya kwanza kwasababu ya imeonekana kufikishwa ndivyo sivyo, nataka Kanye awe kiongozi”

 

Mzunguko.com

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload