TUWAJIBIKE KUJIKINGA NA UKIMWI HATA KAMA INAWEZEKANA SABABU YA MSINGI NI BARIDI-JPM

May 2, 2018

 

 

 

Leo May 2, 2018 President Dr. John Pombe Magufuli Ameweka jiwe la msingi katika ujenzi wa hospital ya Kilolo ambapo amewataka watu wa mikoa ya Njombe na Iringa kuchukua tahadhari juu ya gonjwa la UKIMWI sababu mikoa hiyo ndio inayoongoza nchini.

 

“Mkoa wa Iringa na Njombe ina maambukizi mengi ya UKIMWI, Iringa una 11.2% na Njombe ni 11.6%. Inawezekana sababu ya msingi ni baridi lakini sina uhakika. Ni lazima tuwajibike katika kujikinga na UKIMWI,” amesema Rais Magufuli.

 

 

“Kwahiyo Iringa ni ya pili Njombe ni ya kwanza kwa maambukizi ya Ukimwi nilipofika hapa Kilolo inaonekana shida kubwa hapa ni baridi na kwasababu inaletwa na Mwenyezi Mungu inabidi tujikinge na kuchukua tahadhari zote kwa gonjwa hili.” -JPM

 

Mzunguko.com

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload

Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon