WAANDISHI WA HABARI WAHUKUMIWA KWENDA JELA

April 26, 2018

 

 

 

 

Mahakama nchini Uturuki imewahukumu waandishi wa habari 13 jela kwa kuhusishwa na ugaidi, jambo ambalo limesababisha hasira duniani juu ya uhuru wa vyombo vya habari.

 

Waandishi hao wanaelezwa kuwa wafanyakazi wa gazeti la chama cha upinzani la Cumhuriyet ambalo limekuwa kinyume na serikali ya nchi hiyo kwa kipindi kirefu.

 

 Waandishi hao walikamatwa baada ya jaribio la kupindua serikali liliposhindikana mwaka 2016.

 

,mzunguko.com

 

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload

Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon