Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

RAISI JPM AMTEUA MKUU MPYA WA TPB

April 23, 2018

 

 

Leo April 23, 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli amemteua Dr. Edmund Bernard Mndolwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Posta Tanzania (TPB).

 

Uteuzi wa Dr. Mndolwa umefanyika hii leo April 23, 2018 na ataanza kazi haraka baada ya uteuzi huo.

Dr. Mndolwa anachukua nafasi ya Prof. Lettice Rutashobya ambaye amemaliza muda wake

Mzunguko.com

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload