ARSENAL WENGER ATANGAZA KUACHANA NA ARSENAL MWISHONI MWA MSIMU

Kauli ya Kocha mhuu wa timu ya Arsenal leo hii ni kwamba ataamua kustaafu kuifundisha Arsenal baada ya msimu huu kumalizika Wenger amesema baada kufikiria kwa kina na majadiliano na uongozi wa Arsenal ameona ni muda sahihi kuachia ngazi mwishoni mwa msimu huu.


Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

Jiunge nasi :

Usipitwe na kitu