AGNES MASOGANGE AFARIKI DUNIA HII LEO


Taarifa zilizotufikia muda hvi punde hapa mzunguko magazine na Mzunguko.com ni kwamba Video queen maarufu nchini Agness Masogange amefariki dunia mchana huu.


Habari toka chanzo cha karibu cha marehemu na kimethibitisha kifo chake

Tutaendelea kuwajulisha taarifa zaidi kuhusu msiba huu


BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE

amen


mzunguko.com


Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

Jiunge nasi :

Usipitwe na kitu