YANGA YAWASILI JIJINI DAR KISHUJAA BAADA YA KUITOA WALAITA DICHA YA ETHIOPIA

April 20, 2018

 

 

 

 

Club ya Yanga imewasili Dar es Salaam Tanzania usiku wa April 20 2018 ikitokea Ethiopia ilipokuwa inacheza mchezo mmoja wa marudiano wa Kombe la shirikisho dhidi ya Waloitta Dicha ya Ethiopia.

 

Yanga katika mchezo huo walipoteza kwa goli 1-0 ila wamefuzu hatua ya makundi kwa jumla ya agg ya magoli 2-1, Yanga wanafuzu hatua hiyo baada ya miaka miwili, unaweza kuangalia hapa mapokezi yao yalivyokuwa na alichozungumza kocha wao Shadrack Nsajigwa.

 

Mzunguko.com

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload

Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon