Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

AGNES MASOGANGE AFARIKI DUNIA HII LEO

April 20, 2018

 

 

 

Taarifa zilizotufikia muda hvi punde  hapa  mzunguko magazine na Mzunguko.com ni kwamba Video queen maarufu nchini Agness Masogange amefariki dunia mchana huu.

 

Habari toka chanzo cha karibu cha marehemu na kimethibitisha kifo chake

Tutaendelea kuwajulisha taarifa zaidi kuhusu msiba huu

 

BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE 

amen

 

mzunguko.com

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload