PICHA 6 KALI KUMUONA ALIKIBA AKIFUNGA NDOA NCHINI KENYA

Mwanamuziki mkongwe na mkali wa muziki kutokea kwenye Bongo Fleva Ali Kiba ameamua kuhama kambi rasmi ya mabachela baada ya kuamua kutwaa kifaa toka jijini Mombasa nchini Kenya leo April 19,2018 ambapo kafunga ndoa rasmi na mke wake Amina Khalef Ahmed katika msikiti wa Ummul Kulthum na baadaye Reception sherehe kamili kufanyika Dar Es Salaam


Angalia picha kadhaa za tukio halisi toka nchini humo,

MZUNGUKO.COM


Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

Jiunge nasi :

Usipitwe na kitu