Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

MAN CITY TAYARI MABINGWA LIGI KUU UINGEREZA

April 16, 2018

 

 

 

 

Jana april  2018 mechi ya Man United dhidi ya West Bromwich Albion ilithibitisha rasmi kuwa club ya Man City ndio Bingwa wa EPL msimu 2017/2018, hiyo ni baada ya Man United aliyekuwa nafasi ya pili kupoteza mchezo dhidi ya Wets Bromwich leo kwa goli 1-0.

 

Man City wametangazwa kuchukua taji la EPL kwa mara ya tano baada ya wapinzani wao wakuu waliyokuwa wanawafuatia nafasi ya pili Man United kupoteza wakiwa nyumbani, hivyo Man City wametangazwa kuwa Mabingwa kwa kuwa na jumla ya point 87 na wamesalia na michezo mitano, Man City mara ya mwisho kutwaa taji la EPL ilikuwa mwaka 2014.

 

Hivyo Man City ambao wao wamecheza game yao ya EPL wiki hii Jumamosi ya April 14 dhidi ya Tottenham na kushinda magoli 3-1, wanatangazwa Mabingwa kwani hata Man United akishinda game zake zote na Man City akapoteza game zote zilizosalia, Man United atakuwa na point 86 hivyo hakuna club ya EPL inayoweza kufikia point za Man City 87.

 

 

MZUNGUKO.COM

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload