MWANASHERIA WA TRUMP HATIANI KWA JINAI
Idara ya Haki nchini Marekani imetangaza kuwa Mwanasheria ya juu kabisa wa Rais wa nchi hiyo Donald Trump anaripotiwa kufanyiwa uchunguzi juu ya madai ya jinai yanayomkabili.


Waendesha mashtaka wameeleza kuwa watafuatilia shughuli zote za biashara zaMwanasheria huyo Michael Cohen zaidi ya watakavyochunguza shughuli zake za uanasheria.

Idara hiyo imeeleza kuwa Cohen amekuwa akifanyiwa uchunguzi huo kwa miezi kadhaa sasa iliyopita.


MZUNGUKO.COMTufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

Jiunge nasi :

Usipitwe na kitu