BARABARA ZA MWENDOKASI KUJENGWA TENA DAR ES SALAAM

April 12, 2018

 

 

 

 

 

Jana siku ya april 11, 2018  Waziri wa nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Seleman Jaffo ameeleza Bungeni Dodoma kuwa serikali itatekeleza ujenzi wa awamu ya pili na awamu tatu   ya miundombinu ya mabasi yaendayo haraka (DART) kwa mwaka wa fedha 2018/2019

 

Waziri Jaffo amesema …”Awamu ya pili ya ujenzi wa miundombinu ya DART itahusisha barabara za Kilwa, Kawawa, Sokoine, Gerezani, Bandari na Chang’ombe ambazo zina urefu wa Km 20.3 na itagharimu jumla ya Dola za Marekani Milioni 141.71”

 

mzunguko.com

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload

Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon