Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

ALIYEMUUA RADIO AJUTIA NA KUOMBA RADHI

April 10, 2018

 

 

 

 

Ni miezi miwili tangu kimetokea kifo cha  Radio wa kundi la  RADIO &WESEL la nchini Uganda ,February 1, 2018, Radio ambae alikuwa pamoja na Weasel  wakiunda kundi la Goodlyfe kutokea nchini Uganda, msiba wa Radio uligusa watu wengi duniani.

Baada ya Radio kufariki mtuhumiwa Wamala Godfrey alias Troy anayedaiwa kusababisha kifo cha Radio alikimbia na hakuonekana kwa wiki kadhaa lakini baada ya polisi kuendesha msako wa walifanikiwa kumkamata.

 

Wamala Godfrey alias Troy amekiri kuwa alisababisha kifo cha Radio na kusema kuwaRadio alimponyoka mikononi mwake na kujipigiza kichwa chake chini wakiwa wanapigana haikuwa lengo lake kumuua na hivyo kuomba msamaha ila hadi sasa mtuhumiwa anashikiliwa na polisi kutokana na mauaji aliyoyasababisha.

 

mzunguko.com

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload