Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

RUFAA YA WAMBURA YATUPILIWA MBALI NA KAMATI YA RUFAA YA TFF

April 6, 2018

 

 

 

Kamati ya rufaa ya maadili inayoongozwa na mwenyekiti wake wakili msomi Ebeneza Mshana imeitupilia mbali rufaa ya aliyekuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania Michael Richard Wambura aliyehukumiwa na Kamati ya maadili ya TFF kutojihusisha na masuala ya soka kwa maisha yake yote. Kamati hiyo ya rufaa imesema kwamba rufaa ya wambura haina misingi iliyosimama.

 

 

mzunguko.com

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload