MUME WA MALKIA WA UINGEREZA AMELAZWA KUSUBIRI UPASUAJI

April 4, 2018

 

 

 

 

 

Prince Philip mwenye umri wa miaka 96 na ambae ni mume wa Malkia Elizabeth wa pili wa Uingereza, amelazwa katika hospitali London.

Prince Philip anatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa kiuno ambapo amekuwa na matatizo kwa muda mrefu. 

 

Ujumbe kutoka Buckingham Palace umesema “Mfalme Philip alilazwa katika hospitali ya King Edward V11 Jumanne April 3 ambapo anatarajiwa kufanyiwa upasuaji katika kiuno chake hapo Jumatano April 4,” 

 

mzunguko.com

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload

Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon