NONDO ASIMAMISHWA MASOMO MPAKA HATMA YA KESI YAKELeo March 27, 2018 Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi, Abdul Nondo amesimamishwa masomo Chuo Kikuu cha Dar, hadi kesi yake itakapoisha, Makamu Mkuu wa Chuo hicho Prof William Anangisye amethibitisha.

Nondo amesimamishwa kuanzia March 26, 2018 kwa barua iliyoandikwa na Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Profesa William Anangisye.


mzunguko.com


Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

Jiunge nasi :

Usipitwe na kitu