Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

ZUMA AKWAA KESI

March 27, 2018

 

 

 

 

Rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma amepewa amri ya mahakama kwa mashataka ya ufisadi siku ya Ijumaa, vyombo vya habari.

Wakili wa Zuma Michael Hulley alithibitishia wanahabari kuwa amri hiyo ilifika siku ya Jumatatu (Jana) jioni. Zuma anatarajiwa kufika mahakama kuu ya Durban tarehe 6 mwezi Aprili.

Mkurugenzi wa Taifa wa Mashtaka ya Umma Shaun Abrahams alitangaza kuwa Mamlaka ya waendeshaji mashtaka wa Taifa (NPA) ilifungua tena mashtaka dhidi ya Zuma.

 

mzunguko.com

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload