TAIFA STARS MBELE YA WAANDISHI LEO,

March 26, 2018

 

 

 

 

Jumanne ya March 27 2018 timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars itacheza mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliyopo katika kalenda ya FIFA dhidi ya timu ya taifa ya Congo DRCiliyopo nafasi ya 39 katika viwango vya soka vya FIFA.

Taifa Stars itacheza na Congo DRC uwanja wa Taifa Dar es Salaam kesho March 27 ikiwa ni siku tano zimepita toka wapoteze mchezo wao wa kwanza wa kirafiki dhidi yaAlgeria kwa magoli 4-1, game ambayo ilichezwa mjini Algers.

 

Kuelekea mchezo huo nahodha msaidizi Himid Mao na kocha msaidizi Hemed Moroccowameongea na waandishi wa habari na kuelezea maandalizi yao lakini wachezaji wawili pekee ndio majeruhi ambao ni Aishi Manula wa Simba SC na Makame.

 

mzunguko.com

 

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload

Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon