J.PM ASHTUSHWA NA AJALI YA MKURANGA

March 26, 2018

 

 

 

 

Muheshimiwa Raisi Dr.John Magufuli hapo jana (Jumapili) alielezea kushtushwa kwake na ajali mbaya ya barabara iliyosababisha vifo vya watu 26 usiku wa Jumamosi katika wilaya ya Mkuranga, kaskazini mwa nchi.

“Nimeshtuka na kuhuzunishwa na ajali hiyo iliyopelekea raia 26 wa Tanzania kupoteza maisha yao,” Magufuli alisema kupitia kauli iliyotolewa na idara ya habari za urais. “Najiunga na familia zilizoathirika kuomboleza wapendwa wao waliotuacha,” kauli hiyo ilisema.

Watu hao 26 walifariki pale basi lao lilipogongana na lori saa tatu usiku wa Jumamosi. Watu wengine 10 walinusurika ajali hiyo. Basi hilo lilikuwa likisafiri kutoka Dar es Salaam kuelekea Mkuranga lilipogongana na lori iliyokuwa imebeba tani 32 ya chumvi. Waliofariki kwenye ajali hiyo ni pamoja na wanawake 12, watoto 7 na wanaume 7 ikiwemo dereva wa basi. .

mzunguko.com

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload

Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon