MATIBABU YAHARIBU SAFARI YA PELE URUSI

March 22, 2018

 

 

 

 

Mwanasoka gwiji nchini Brazil Pele,77, amefuta safari yake ya Urusi juu ya ushauri wa matibabu, msemaji wake alisema.

Pele alitarajiwa kusafiri Urusi ili kupokea tuzo ya kuadhimisha miaka 60 ya mechi yake ya kwanza ya Kombe la Dunia dhidi ya Urusi nchini Sweden.

Daktari alipendekeza kwamba asiende kwa safari ndefu. Pele amekuwa na matatizo ya kiafya hivi karibuni.

 

mzunguko.com

 

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload

Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon