Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

IGP MSTAAFU ATEULIWA KUWA BALOZI NCHINI RWANDA

March 21, 2018

 

 

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli leo amemuapisha IGP Mstaafu Ernest Mangu kuwa Balozi wa Tanzania nchini Rwanda, na Meja Jenerali Mstaafu Simon Marco Mumwi kuwa Balozi nchini Urusi.

 

mzunguko.com

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload