FARU MWEUPE WA KIPEKEE AFARIKI

March 21, 2018

 

 

 

Faru huyo aliyeitwa Sudan amefariki kutokana na matatizo ya kiafya yaliyochangiwa na umri wake. Alifikisha miaka 45 na alikuwa akipewa matunzo maalum katika hifadhi ya wanyamapori ya Ol Pejeta, nchini Kenya.

 

Paul Gathitu ni msemaji mkuu wa Shirika la Huduma kwa Wanyama Pori ya Kenya, na kwanza kutaka kujua sababu ya kifo cha Faru Sudan na kama kulikuwa na juhudi zozote za kuweza kuzalisha kizazi kijacho cha jamii hiyo ya wanyama kwa vile kuna faru wawili tu weupe wa kike ambao wangali hai.

 

mzunguko.com

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload

Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon