KIJANA AMUUA DADA YAKE KISA "PLAY STATION"

March 20, 2018

 

 

 

Kijana mwenye umri wa miaka tisa alimpiga risasi dadake mwenye umri wa miaka 13 na kumuua baada ya kubishana juu ya kidhibiti cha mchezo wa video siku ya Jumapili usiku,kulingana na taarifa iliyotolewa na serikali za mitaa katika jimbo la Mississippi nchini Marekani.

Msichana kutoka Kaunti ya Monroe alipigwa risasi kwenye kisogoni,na risasi hiyo ikapitia kwenye ubongo wake na kusababisha kifo chake.

Uchunguzi bado unaendele ili kubaini alikotoa bunduki hiyo lakini mamlaka haijawasilisha mashataka yoyote.

 

MZUNGUKO.COM

 

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload

Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon