Tufuate kupitia:
  • YouTube Social  Icon
  • Twitter Social Icon
  • Black Instagram Icon
  • Facebook Social Icon

MWENYEKITI WA JUKWAA LA WAHARIRI AJIUZULU,

March 17, 2018

 

 

 

Mwenywekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania(TEF), Ndugu Theophil Makunga amejiuzulu nafasi yake kuanzia Ijumaa Machi 16, 2018

Makunga amechukua uamuzi huo kwa kitumia uhuru wake kama mwanachama hai wa TEF. Mkutano Mkuu wa TEF uliofanyika mapema leo umeridhia na uamuzi huo wa Bwana Makunga.

 

Ndugu Theophil aliandika barua hiyo ya kujiuzulu ijumaa ya tarehe 16,na kikao kilichokaa jumamosi kuridhia na uamuzi wake hivyo kumruhusu kuendelea na mambo mengine ila sababu za kujiuzulu kwake bado hazijawekwa wazi.

 

mzunguko.com


 

Share on Facebook
Share on Twitter
Please reload